UNASUMBULIWA NA HOFU NA UNATAKA KUISHINDA? .

HOFU ni KINYUME cha IMANI.Unapohofia Kitu unakiongezea NGUVU kukutawala.Unachokihofia unakipa uwezo wa kukutokea.
??????
Kuna Hofu inakusumbua na unataka kuishinda?Huwezi kuishinda Hofu kwa kuiiepuka,la hasha!Unaishinda Hofu kwa kuikabili tena unaikabili kabla HAIJAKUTAWALA kwa kiwango kikubwa.
??????
Mara nyingi MAMBO Makubwa yanapotaka kutokea kwenye MAISHA YAKO kikwazo kikubwa utakutana nacho ni ile HOFU itakayokuzuia KUCHUKUA MAAMUZI ama KUFANYA unachotakiwa.
??????
Kila Mtu katika wakati fulani wa maisha yake ANATAWALIWA na Hofu fulani.WANAOFANIKIWA kwenye maisha ni wale ambao WANAPOKABILIWA na HOFU WANAIKABILI.
??????
Leo jaribu Kujiuliza ni Hofu gani ambazo zinakuzuia?UKISHAZIJUA,AMUA kuzishinda MARA MOJA.UNAWEZA!!!
??????
USIKUBALI KUWA MTUMWA WA HOFU.
.
See You At The TopWant the inside scoop

JOIN THE COMMUNITY


Copyrigh © 2018  JOEL NANAUKA   All Rights Reserved